1102 - Mada huru kuhusu matukio ya wiki likiwemo kongamano la Africa Forward
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
1102 - Mada huru kuhusu matukio ya wiki likiwemo kongamano la Africa Forward
00:00
00:00
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodes
1102-
Mada huru kuhusu matukio ya wiki likiwemo kongamano la Africa Forward
Listened
Sat, 16 May 2026
1101-
Rais wa Uganda Yoweri Museveni aapishwa kuongoza muhula wa saba
Listened
Sat, 16 May 2026
1100-
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hatojiuzulu kufuatia kesi ya ufisadi
Listened
Sat, 16 May 2026
1099-
Ufaransa yatangaza uwekezaji wa thamani ya Yuro milioni 23 barani Afrika
Listened
Sat, 16 May 2026
1098-
Mkutano wa Africa Forward watoa kipau mbele kwa masuala ya vijana
Listened
Mon, 11 May 2026
1097-
Sheria mpya ya Uganda kukabili wageni wanaoingilia masuala yake ya ndani
Listened
Fri, 08 May 2026
1096-
Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z
Listened
Fri, 08 May 2026
1095-
Ziara ya Rasi William Ruto nchini Tanzania na makubaliano baina ya nchi hizo
Listened
Fri, 08 May 2026
1094-
Nini zaidi kifanyike kulinda uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari
Listened
Fri, 08 May 2026
1093-
Mchango wa waskilizaji kuhusu taarifa za wiki ikiwemo rais wa zamani Joseph Kabila kuwekewa vikwazo
Listened
Sat, 02 May 2026
1092-
UN umeendelea kuonya kuhusu mzozo wa Sudan kunyamaziwa na mataifa ya ulimwengu
Listened
Sat, 02 May 2026
1091-
DRC kuunda kikosi maalum kulinda maeneo yanayochimbwa madini
Listened
Sat, 02 May 2026
1090-
Vyama vya siasa Tanzania vinashinikiza marekebisho ya katiba
Listened
Sat, 02 May 2026
1089-
Visa vya chuki dhidi ya raia wa kigeni vinaendelea kushuhudiwa Afrika Kusini
Listened
Tue, 28 Apr 2026
1088-
Maoni yako kwenye makala ya habari rafiki Mada Huru
Listened
Fri, 24 Apr 2026
1087-
Maandamano ya vijana wa Gen Z nchini Kenya kulalamikia kupanda kwa bei ya mafuta
Listened
Tue, 21 Apr 2026
1086-
makubaliano mapaya kati ya Serikali ya DRC na M23 kukubaliana
Listened
Mon, 20 Apr 2026
1085-
Makubaliano ya kusitisha vita kwa wiki mbili kati ya Marekani na Iran
Listened
Fri, 10 Apr 2026
1084-
Rais wa Cameroon Paul Biya amteua mwanaye Franck Emmanuel Makamu wa rais
Listened
Fri, 10 Apr 2026
1083-
Uhaba na bei za juu za mafuta zashuhudia kashfa ya maofisa wa serikali kuhodhi
Listened
Wed, 08 Apr 2026
1082-
DRC kuanza kuwapokea wakimbizi haramu kutoka Marekani katika mkataba maalum
Listened
Tue, 07 Apr 2026
1081-
Africa : Mila za Africa je zinapotea ?
Listened
Sat, 04 Apr 2026
1080-
Maoni ya waskilizaji kuhusu matangazo yatu juma hili